Bata batani
JF-Expert Member
- Nov 11, 2011
- 3,217
- 3,694
Leo ni ijumaa si waandamane ili kudai shule yao ifunguliwe?kaaaaaaaaaaaazi kwelikweli!Karibuni kwa Yesu ful shangwe!kwa wale mnaoifahamu.....shule ya secondary ya biafra ilioko kinondoni.......kwa sasa sio tena shule.....secondary bali imekuwa tawi la open university na majengo yake yote yamepakwa rangi za open university of tanzania...
sasa ndugu zangu mliosoma pale ambao bado hamkufatilia vyeti vyenu...vya shule kwenda kuchukua inabidi mfatilie ni wapi....mtapata vyeti vyenu.......maana shule yenu tayali haifahamiki ilipo.....
huwa hawadi vitu kama elimu hata siku moja............Leo ni ijumaa si waandamane ili kudai shule yao ifunguliwe?kaaaaaaaaaaaazi kwelikweli!Karibuni kwa Yesu ful shangwe!
Leo ni ijumaa si waandamane ili kudai shule yao ifunguliwe?kaaaaaaaaaaaazi kwelikweli!Karibuni kwa Yesu ful shangwe!
Acha udini, haikuwa kama unavyofikiri, ilikuwa ya mnaijeria kutokana na madeni ikafilisiwa, toa boriti kwenye jicho lako ndo mafundisho ya Yesu.Leo ni ijumaa si waandamane ili kudai shule yao ifunguliwe?kaaaaaaaaaaaazi kwelikweli!Karibuni kwa Yesu ful shangwe!
Acha udini, haikuwa kama unavyofikiri, ilikuwa ya mnaijeria kutokana na madeni ikafilisiwa, toa boriti kwenye jicho lako ndo mafundisho ya Yesu.
Leo ni ijumaa si waandamane ili kudai shule yao ifunguliwe?kaaaaaaaaaaaazi kwelikweli!Karibuni kwa Yesu ful shangwe!
Na wewe acha uongo! Shule ilikuwa inamilikiwa na mzee fulani anaitwa Samwel ni marehemu sasa, alikuwa na share na headmaster anaitwa Mr. Shambura, baada ya kufariki watoto wake wa kike wakaanza kumsumbua yule headmaster kuwa ni shule ya baba yao wakati share zinaonyesha wazi mgogoro ulienda mpaka wizara ya elimu na katibu mkuu wa kipindi hichi mwaka 2009 aliamuru Shambura apewe hisa zake na alipwe ila wale mabinti wakawa wanamsumbua sana! Mpaka sasa hajapata haki zake pamoja alitoa nguvu zake na utaalamu wake. Wale watoto ni walevi na shuleless wakaishia kuchukua ada za wanafunzi na kulewa na kuhonga vijana walio umri mdogo kuliko wao, at the end walikula mpaka ada za wanafunzi wa kidato cha nne ya mtihani wa national,ndipo wizara ikaweka probe na kuamua kuifunga kwa muda!
Sasa nadhani waliamua kuimalizia kabisa wale wajinga, shule ilanza kupata umaarufu wakaona hela ni za kubeba tu, headmaster akiwakataza wakamchukia na kumletea zengwe bila ya kufahamu kuwa alianza na ile shule toka wanatumia majengo ya primary ilikuwa kama shule ya upili.
Naifahamu hiyo shule maana I happened to be one of the mediator wa huo mgogoro, that mwalimu anahangaika kutafuta shule ingine kwa wale waliosoma Kinondoni Muslim miaka ya 90's mpaka early 2000's watakuwa wanamkumbuka, ni mkali sana wa mathematics and physics!