A
Mamlaka zilifanyie kazi asap!
Inasikitisha sana sana sanaMkoa wa Kigoma, Jimbo la Kigoma Mjini, Wanafunzi wanaoanza form one wanarudishwa nyumbani na kushindwa kupokelewa kuanza masomi kisa shule haina madawati.
Hili ni janga mfano Shule ya Secondary BUHANDA, Walimu wanawafukuza Wazazi mpaka watakapopeleka madawati ndio wanapokelewa, la sivyo wawalipe Walimu kiasi cha Shilingi 40,000 ili wapewe dawati.