Shule ya sekondari ina wanafunzi wawili tu kidato cha tatu

Shule ya sekondari ina wanafunzi wawili tu kidato cha tatu

dedam

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2011
Posts
845
Reaction score
166
Shule ya sekondari kizomla iliyoko kata ya mkamba wilaya ya mkuranga mkoa wa pwani,ina wanafunzi wawili tu wa kidato cha tatu,Shule hiyi iliyoko umbali wa takribani km 80 hivi kutoka mkoa wa Dar es salaam imewapata wanafunzi hao baada ya wengine kufeli kidato cha pili,mtihani uliyofanyika nchini kote mwaka 2012, wanafunzi hao pekee ambao ni mapacha wa jinsi ya ke ndio wanaibeba shule kwa kidato cha tatu.
 
Back
Top Bottom