Shule ya Sekondari Kazima yafungwa kwa kukosa chakula

MZAWA JF

JF-Expert Member
Joined
Apr 4, 2014
Posts
4,491
Reaction score
3,996
Hii shule kongwe imefungwa jana kwa sababu tajwa hapo juu. mbaya zaidi ina form 6 watakaofanya mitihani may. kwa anayejua zaidi karibu.

Source: mwalimu anayefundisha hapo.

Hali ni mbaya kwa kweli
 
Shule yangu masikini. Hii nchi sasa inatembelea rim
 
Shule hii iko Karibu na Ikulu ya mkoa wa Tabora. Naifahamu sana maana ni jirani na niliposoma mimi "Tabora-Boys'".
 
apo apo ada mnataka kufuta watu wanalipa ada na chakula kinaisha masomo wanakosa ii tanzania jah bless
 
kuna rafiki yangu ana mdogo wake kondoa girls nao wamefunga tangu ijumaa shida ni msosi
 
Mmmmh...ni shiiidaaaaah!!! Bado kidogo tu mishahara itaanza kuwa shida nayo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…