Kujenga shule tu pasipo kuajiri walimu wa kutosha na wanao endana na idadi ya wanafunzi, bado ni kazi bure.
Halafu hizo pesa zimetokana na kodi zao. Hivyo hawana sababu ya kumshukuru Rais.
Hilo ni jukumu la serikali yoyote ile inayokusanya kodi kutoka kwa wananchi.