MwalimuTicha
New Member
- Jun 10, 2012
- 2
- 0
Shule ya Sekondari Mwalimu Nyerere iko mkoa wa Shinyanga halmashauri ya Msalala na matokeo ya kidato cha tano & sita wasichana (PCM na PCB tu) wastani wao wa kufaulisha unakaribiana sana na special schools.
Shule hii haina uzio na haina ofisi ya Walimu nzuri kama ilivyo shule nyingi maarufu za wasichana hapa nchini, na baadhi ya madarasa ni chakavu.
Watoto wa kike wale na shule iko kijijini kuna haja ya Serikali kuitazama hii shule kwa jicho la pili ijengwe kama zinavyojengwa shule nyingine ikiwemo uzio, ofisi ya walimu na kuboresha madarasa.