jangoma
Member
- Sep 24, 2023
- 64
- 216
Walimu hamuwalipi, wakidai haki zao mnawafukuza, watoto wanakaa mpaka miezi 2 bila mwalimu, mnakusanya ada pesa mnapeleka kwenye makesi ya kung'ang'ania umiliki wa shule.
Kila siku mnawadanganya wazazi kwamba kituo mnarudishiwa mwakani, je nyinyi ndio serikali??
Kwaiyo mnajipangia wenyewe kufunguliwa kituo?
Shule ya primary mmefungua lakini walimu wanaacha kazi kila siku kwa sababu hawalipwi.
Kwanini msiwe wakweli kwamba kesi zimewakalia vibaya mnaenda kunyang'anywa shule? Kwanini bado mnakusanya ada kwa wazazi?
Naskia na yule mama mkongwe ameacha kazi, ameshawaona ni wababaishaji.
Na bado mlitudhulumu waislam shule yetu mlidhani allah atawaacha salama?
Pia soma