Wakuu habari ya Mapumziko ya mwisho wa wiki..!,basi kama uko mzima ni jambo la kumshukuru Mungu,Binafsi nahitaji msaada kwa yeyote mwenye namba ya mkurugenzi,mkuu wa shule au mwalimu yeyote aliyepo Yeshua sekondari ani PM,shule hii inapatikana Temeke-Dsm,Nitashukuru kwa hilo.Ahsanteni.