Idadi ya watanzania wanaohitaji hudma ya mawakili inazidi kuongezeka hasa maeneo ya vijijini ambako mawakili wachache waliopo hawapendi kufanya kazi mana wengi wamejikita dar na maeneo mengine ya mijini.
Changamoto ninayoiona kuchangia uhaba huu wa mawakili pamoja na gharama za ada kuwa kubwa,lakini kubwa zaidi ni hili la kuendeshea mafunzo sehemu moja tu ya nchi,ni bora basi mafunzo haya yakaendeshwa katika kanda yaani nyanda za juu kusini kuwa na kituo kanda ya kati na kanda ya kasikazini,hii ingepunguza gharama kwa watu wengi na huku ikizalisha mawakili wengi.