Shule yafanya graduation (Mahafali) Baada ya miaka 68!

SHIEKA

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2011
Posts
8,240
Reaction score
4,265
Shule moja huko kusini mwa Japan katika jimbo la Okinawa ilishindwa kuwafanyia wanafunzi wake wa darasa la sita graduation yao mwaka 1945 kwa sababu ya vita kuu vya pili vya dunia. Hatimaye wanafunzi hao ambao wengi wana umri wa zaidi ya miaka 80 walifanyiwa graduation Jumatano ya 19/6/2013.Mmoja wa wanafunzi aliyewakilisha wenzake 16, Masaru Mekaru mwenye umri wa miaka 81 akiwa na furaha, aliwaambia wahitimu wenzake kwamba sasa ni muda mwafaka kujenga nchi na kuhimiza amani duniani.


Source:Habari na picha NHK world
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…