Shule za Afrika Kusini kuanza kufunza Kiswahili baada ya kuingia makubaliano na Kenya

Hili nalisema kila siku, utaalam wa kufundisha lugha ni tofauti na kuizungumza mtaani, nyie mpo ovyoo sana kwenye uandishi wa Kiswahili.
si kweli ninyi hamjui cha kuandika hata cha kuongea na tena isitoshe mlikidharau sana kiswahili, siku hizi kimewezeshwa na Wtz mnashobokea achieni wakongwe hamuwezi kaa meza moja na sisi ktk hii lugha
 
si kweli ninyi hamjui cha kuandika hata cha kuongea na tena isitoshe mlikidharau sana kiswahili, siku hizi kimewezeshwa na Wtz mnashobokea achieni wakongwe hamuwezi kaa meza moja na sisi ktk hii lugha

Haijatokea siku hata moja mkatuzidi kwenye utaalam wa uandishi wa lugha ya Kiswahili, jaribu ulinganishe mtihani wa kidato cha nne Kenya na Tanzania uone mlivyo nyuma. Au hata tuzo za Kiswahili ambazo hunyakuliwa na Wakenya.

Kwenye kuzungumza nakubali mnatushinda maana nyie hamna lugha nyingine, huwa mumeganda kwenye hiyo moja, walimu wa Kenya wapo duniani kote tangu kitambo wakifundisha Kiswahili.

 
Misili
Mithili
Kuna funza nomino na funza kitenzi
Rudini shule wabongo
Na hampendi kukosolewa. How will U learn?
Mkenya anamfundisha mtanzania kiswahili?.....hakuna kitenzi cha kufunza chenye maana ya kutoa maarifa kwa mtu katika lugha ya kiswahili sanifu.
 
Nimesoma thread inayoeleza kuhusu Kenya kusaini MoU ya ufundishaji Kiswahili Afrika ya Kusini kama hili ni kweli imenihuzunisha sana. Nchi yetu ina walimu wengi sana wa kiwango cha Umahiri(MA) Kiswahili na wanafundisha shule za msingi na sekondari (O level) baadhi ya walimu hao walishajisajili kwenye kanzidata ya wataalamu wa Kiswahili kwa minajili ya kutafutiwa fursa za kufundisha katika nchi kama hiyo hapo juu. Sasa nashangaa imekuwaje Kenya wametutangulia wakati wataalamu tunao na wanafahamika? Watendaji wetu kuweni serious si kila jambo mpaka Rais awashtue. BAKITA, na wizara zingine zinazohusika na hili mnafanya nini? Wataalamu huko waliko wanazeeka pasi kutumia taaluma yao. Tafadhali fanyieni kazi kadhia hii.
 
Out of 10 of such awards Tanzanians have bagged eight!
 
Huwezi kumfundisha MTU lugha yako kama hujui lugha yake au yoyote inayo waunganisha. PhD za waTz zinatuchanganya lakini ujuzi wao kingereza unatosha tu kuombea maji siyo kufundishia. Labda angepatikana mmoja au wawili kama wewe lakini ombi LA mahitaji ya walimu toka SA lilikwisha pokelewa siku nyingi halikufanyiwa kazi. Huo tayari ni udhaifu wa kumfanya mhitaji kujaribu kwingine.
 
Tatizo sio kingereza, South Africa wana lugha rasmi 12 na zinatumika kitaifa ili kufutilia mbali ubaguzi
 
Hahaha jamaa unapenda kuchonoa watu wew
 
Tatizo sio kingereza, South Africa wana lugha rasmi 12 na zinatumika kitaifa ili kufutilia mbali ubaguzi
Wamechagua Kenya kwa sababu ya kingereza ingawa pia wana Kijaluo, Kikikuyu, Kikamba etc. Sisi hatuna Kingereza, Afrikaan, Zulu etc.
 

Tatizo la Watanzania wanajua Kiswahili LAKINI hawajui lugha ya kufundishia Kiswahili(I mean they are poor in the media of teaching Kiswahili which is English)! Kujua lugha mbili au tatu za kimataifa kwa ufasaha ni tiketi ya kufanya kazi popote pale duniani. Kwa hiyo Wakenya wana nafasi kubwa sana ya kufundisha Kiswahili nchi yeyote duniani ikiwepo Africa Kusini, Truth is Bitter but we have to swallow the Bitterness! Angalia hata mkuu wa Idara ya Kiswahili BBC ni Mganda - Peter Musembi na siyo Mtanzania!! Kuna watu(majority) Tz wana shahada au Masters au PhD lakini Kiingereza kinawapiga chenga licha ya kufundishwa Kiingereza toka darasa la tatu/wengine darasa la kwanza, Grade 1 or Grade III mpaka chuo kikuu lakini shiiiida mno kujieleza!!!!! Tatizo ni msingi mbovu kule chini (Grade one to Grade seven)!!
 
Unaongelea Watu Walio somea kufundisha lugha au mtu aliesomea mambo mengine?
 
Ni kweli kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…