mkulima gwakikolo JF-Expert Member Joined Nov 22, 2014 Posts 1,767 Reaction score 2,855 Jun 23, 2015 #1 Wadau, Inasikitisha. Watoto wa walala hoi mpaka leo wapo majumbani wakati wenzao wanakaribia kurudi likizo. Je, serikali ina dhamira gani?
Wadau, Inasikitisha. Watoto wa walala hoi mpaka leo wapo majumbani wakati wenzao wanakaribia kurudi likizo. Je, serikali ina dhamira gani?
E edgar mwakipesile Senior Member Joined Apr 8, 2015 Posts 132 Reaction score 30 Jun 23, 2015 #2 Mambo ya kuichagua ccm komen wadanganyika
zipompa JF-Expert Member Joined Aug 19, 2014 Posts 11,432 Reaction score 24,596 Jun 23, 2015 #3 Mbaya zaidi unasubiri post na haupati waweza jikuta mwaka unakata bila ya kufanya kitu
Amon Mtekateka JF-Expert Member Joined Jun 4, 2014 Posts 1,225 Reaction score 333 Jun 23, 2015 #4 Jaman bado tupo kwenye mchakato wa kutangaza nia mambo mengi. Post zenu ikiwezekana mwakan ha!hahahaaa
Jaman bado tupo kwenye mchakato wa kutangaza nia mambo mengi. Post zenu ikiwezekana mwakan ha!hahahaaa
D De Zephano Member Joined May 27, 2015 Posts 28 Reaction score 4 Jun 23, 2015 #5 Hii Serekali Saiv Iko Kichwa Chin Miguu Juu Hawajielewi Wamelewa Madaraka Imetawaliwa Na Ufisadi Kuliko Awamu Zote Its Time For Changes Now
Hii Serekali Saiv Iko Kichwa Chin Miguu Juu Hawajielewi Wamelewa Madaraka Imetawaliwa Na Ufisadi Kuliko Awamu Zote Its Time For Changes Now
NG'HOMELE JF-Expert Member Joined Jan 13, 2014 Posts 470 Reaction score 147 Jun 23, 2015 #6 cccm oyeee hata kwa bao LA mkono magogoni hyoo. amkeni vijana ccm inawazeesha kabla ya umri
trigeminal JF-Expert Member Joined Jan 9, 2015 Posts 1,944 Reaction score 2,283 Jun 25, 2015 #7 Acha vjana wapge tuition, shulen nan akawafundishe?