Zote no Bora..Ndugu zangu wana jamii Forums nawaomba ushauri wenu. Mimi nina Binti yangu amemaliza kidato cha nne mwaka huu na hivyo nataka kumtafutia shule binafsi za wasichana za A level. Naomba mnishauri kati ya shule zifuatazo zipi ni shule zinazofaa kumtafutia Binti yangu. Shule zenyewe ni kama ifuatavyo:- Kifungilo, Mazinde, Maria Goreti, Marian, Canossa, Feza Girls na Loretto. Nawaombeni mzipange kwa ubora.
Nisaidieni kujua ni shule zipi bora zenye imani ya kipentekoste na kitaaluma ziko juu.
KUNA SEMINARI ZA WAPENTEKOSTE ?
Hawa hawana tofauti na Waislamu katika Elimu..
Ndugu zangu wana jamii Forums nawaomba ushauri wenu. Mimi nina Binti yangu amemaliza kidato cha nne mwaka huu na hivyo nataka kumtafutia shule binafsi za wasichana za A level. Naomba mnishauri kati ya shule zifuatazo zipi ni shule zinazofaa kumtafutia Binti yangu. Shule zenyewe ni kama ifuatavyo:- Kifungilo, Mazinde, Maria Goreti, Marian, Canossa, Feza Girls na Loretto. Nawaombeni mzipange kwa ubora.
Umeitaja feza kwa kuwa unaipenda sana au unao uwezo wa kumudu ada yake?