shule za boarding dsm-private

shule za boarding dsm-private

Cnkwabi

Member
Joined
Sep 9, 2012
Posts
97
Reaction score
22
mdogo wangu kamaliza darasa la saba natafuta shule ya international sekondari hapa dsm wilaya kinondoni

kumuanzisha pre form one iwe


boarding ,gharama isizidi milion 2,msaada kama kutakuwa na mtu anafahamu.asante.
 
niajiri me nimfundishe nyumbani kwako/kwao kwa bei ndogo sana nipgie 0658825141
 
Private boarding ambazo ni nzuri hapa Dsm ni gharama ,,ni zaidi ya hapo,,za haraka haraka nazozfaham ktk wilaya ya kinondon ni Alpha,Feza na Lauret,,hizo apo bt ada ni mkasi ndgu,,
 
niajiri me nimfundishe nyumbani kwako/kwao kwa bei ndogo sana nipgie 0658825141
thanks ndugu,ntakucheck,lakini zaidi nilihitaji awe boarding ila kama vp kama akiwa likizo nita consider ushauri wako thanks again..!
 
Back
Top Bottom