mdogo wangu kamaliza darasa la saba natafuta shule yainternational sekondarihapa dsm wilaya kinondoni
kumuanzisha pre form one iwe boarding ,gharama isizidi milion 2,msaada kama kutakuwa na mtu anafahamu.asante.
Private boarding ambazo ni nzuri hapa Dsm ni gharama ,,ni zaidi ya hapo,,za haraka haraka nazozfaham ktk wilaya ya kinondon ni Alpha,Feza na Lauret,,hizo apo bt ada ni mkasi ndgu,,