frema120 JF-Expert Member Joined Jan 1, 2012 Posts 5,098 Reaction score 1,339 May 11, 2014 #1 Wakuu habari ni shule gani nzuri na ufundisha vizuri sana masomo haya iliopo dar, kwa makini sana hasa hasa wilaya ya kinondoni na ilala na mwanangu nataka kumuamishia dar anasoma masomo haya msaada pls! Asante sanaa.
Wakuu habari ni shule gani nzuri na ufundisha vizuri sana masomo haya iliopo dar, kwa makini sana hasa hasa wilaya ya kinondoni na ilala na mwanangu nataka kumuamishia dar anasoma masomo haya msaada pls! Asante sanaa.
Sanoyet JF-Expert Member Joined Apr 3, 2013 Posts 1,323 Reaction score 292 May 11, 2014 #2 Cash book a/c,journal,ledger a/c,bank statement,petty casb,demand & supply,etc.yaani nikukumbukaga haya madude natamani kurudi shule!!!
Cash book a/c,journal,ledger a/c,bank statement,petty casb,demand & supply,etc.yaani nikukumbukaga haya madude natamani kurudi shule!!!
Jeji JF-Expert Member Joined Jun 28, 2011 Posts 1,973 Reaction score 372 May 11, 2014 #3 St Mathew lkn ni kongowe mbagala.
fungi JF-Expert Member Joined Mar 18, 2014 Posts 2,539 Reaction score 4,672 May 11, 2014 #4 St Joseph Millenium nyengine Lilian Kibo zote hizi zipo Goba