opportunist2012
Member
- Feb 8, 2012
- 92
- 9
Baadhi ya wanafunzi wa shule za kata wajihusisha na vitendo vya ngono ili kujikimu kimaisha kutokana kuishi gheto.
Taifa letu linaelekea wapi? Uhuru.
Taifa letu linaelekea wapi? Uhuru.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndiyo madhara ya utandawazi, ni population nzima imeconcentrate kwenye ngono sio wanafunzi tu, wala sio suala la kujikimu. Hata wanandoa wapo bize kutafutana kwenye simu ukiona anaongea na simu meno nje, ujue anawasiliana na hawala yake.

kwa hyo serikali unataka ikufanyie nini labda. unataka kila shule ya kata iwe bodin skul? wakat mwingine usianze na kiroba
we ndo umeanza na kiroba,yawezekana hata hujaelewa kilichozungumzwa....kwan mwenzako ameitaja serikal hapo?