Hi wanajamvi.
Nina maombi mawili.
1. Naomba kama una list ya shule angalau 20 bora za mkoa wa Dar es salaam.
2. Pili kwa mwenye experience na shule za msingi za wahindi-yaani shule kama almuntanzir etc, ufundishaji wao, kujali watoto, viboko etc
Natanguliza shukrani.