Basi labda sijafikia hukozama gani USA,japani,south afrika,zambia na n.k ungefika haya mambo hakuna.
Sioni tatizo, hata aliyeko darasa la tano anatamani kwenda la sita lakini wako shule moja. Tujikite kuwa na elimu bora mkuu. Proximity sio issue yoyoteKwa miaka 90 kurudi chini ilikuwa ngumu kuona shule za msingi zikiwa karibu na sekondari hii iliwapa watoto kutamani kufika sekondari wakimaliza shule ya msingi wanapokutana na wakubwa wao.
Kwa sasa ni mambo ya ajabu yani sekondari kuwekwa kwenye shule ya msingi na tunajua sekondari ni watu waliopevuka na wenye mambo ambayo ni hatari kwa watoto ambao wapo karibu yao wakiwaona karibu eneo moja.