BOB LUSE
JF-Expert Member
- Jan 25, 2014
- 3,738
- 3,199
Shule za Msingi Kuna mitihani mingi sana Kwa madarasa ya 4 na 7 Mfano mock, Wanafanya Mock Kabla ya mwezi wa Tano, watafanya Tena Kabla ya mwezi wa nane, Wana mitihani ya kata, mitihani ya wilaya, Wana mitihani ya Kess, Mitihani ya Mofety. (Taasisi binafsi zimeruhusiwa kuuza kutunga na kuuza mitihani mashuleni.
Ukiangalia shule za kimataifa hawana utitiri wa mitihani kama hiyo, na Watoto wanafanya vizuri na Wana uelewa mkubwa Kuliko Hawa wa Shule za mtaala wa Serikali.
Mitihani sio kigezi Cha kuelewa vitu, wako wengi waliofaulu mitihani lakini kazini hawana tija. Kuna nchi za ulaya hawana mitihani kabisa,Bado Wana maendeleo Kuliko yetu. Mitihani hiyo gharama zinabebeshwa Wazazi.sio jambo zuri,kutoa ajira Kwa Taasisi zipime Watoto wakati hazihusiki kuwafundisha, Elimu ni huduma sio Biashara ya kunufaisha wachache.
Mtoto Ili ajitafute na kuwa mbunifu asijaziwe vitu vingi.