Rubengo J Rubengo
Member
- Jul 30, 2014
- 46
- 2
Wakuu Naombeni Kwa Wale Wanaozijua Shule Nzuri Za PRIVATE...A-level Zenye Kiwango Cha Chin Cha Ada Na COMBINATIONS Ztolewazo Na Shule Husika.Zilizopo Mkoa Wa MWANZA NA MARA Mnitajie.
NB:Itakua Vyema Kama Utaweka Na Kiwango Cha Fedha Taslim Kwa Mwaka Au Muhula...
NB:Itakua Vyema Kama Utaweka Na Kiwango Cha Fedha Taslim Kwa Mwaka Au Muhula...