Mwakinyo makini
Member
- Dec 20, 2023
- 23
- 26
Hawezi kuchaguliwa.Habari,wadau wa Jf,
Nlikua nauliza je mtoto aliyepata 1 ya 9 ,na ana ufaulu wa
A-chemistry,B-physics na B- mathematics ,anaweza kuchaguliwa
Shule za vipaji maalumu(special schools) kidato Cha Tano?[emoji848][emoji189]
Ndio.Kwamba shule za vipaji wote watakua wana A flat?
Angalau pts 7 na awe AAB hivi.Kwamba shule za vipaji wote watakua wana A flat?
Hata ingekuwa miaka 15 iliyopita asingechaguliwa.Habari,wadau wa Jf,
Nlikua nauliza je mtoto aliyepata 1 ya 9 ,na ana ufaulu wa
A-chemistry,B-physics na B- mathematics ,anaweza kuchaguliwa
Shule za vipaji maalumu(special schools) kidato Cha Tano?[emoji848][emoji189]
Unaposema "shule za vipaji maalumu" una maanisha nini?Kwamba shule za vipaji wote watakua wana A flat?
Kufaulu sana sidhani kama ni kipaji!Hili jina shule za vipaji sijawahi kulielewa hadi leo
Wana maanisha kipaji cha kufaulu ama nini... kufaulu nako ni kipaji duh
Sasa hilo jina shule za vipaji wana maanisha kitu gani
Lazima tugroom brains za kutusaidia baadae.Hiyo lebo ya "vipaji maalum" ndiyo sumu namba moja. Serikali iweke level ground kwa shule zote iache watoto wapambane wenyewe, siyo kutenga kuwa wengine wana vipaji maalum na wengine hawana vipaji. Ile system aliyokuwa ametengeza Nyerere ya kuwa na michepuo ya biashara, kilimo, ufundi, ualimu, na zetu sisi tuliokuwa kwenye michepuo ya kijeshi wakati huo ndiyo iliyokuwa system nzuri. Serikali ilitakiwa iongeze michepuo kama michezo, Muziki na vipaji kama hivyo na kuwaacha watoto wenyewe ndio waamue wanataka kwenda kwenye shule ipi.
Kuwepo kwa hizo shule za vipaji maalum leo ni kama zimeweka matabaka miongoni mwa watoto ambapo wale ambao hawakuingia vipaji maalumu wanajiona kama hawafai.