Tony Laurent
JF-Expert Member
- Jan 5, 2011
- 5,606
- 7,032
Kuna binti ambaye alimaliza kidato cha nne mwaka 2013, bahati mbaya hakuweza kuchaguliwa kuendelea na masomo ya kidato cha tano kwa shule za serikali. Uwezo wa kumpeleka shule binasfi haukukwepo kwa wakati huo, ila kwa sasa Mungu amebariki uwezo upo. Yeye anapendelea asome mchepuo wa CBG. Hivyo tunatafuta shule ya bweni ambayo inamchepuo huo ili aweze kuendelea na masomo mwaka huu.
Matokeo yake ya mchepuo huo yako hivi:
CHEMISTRY- D
BIOLOGY- D
GEOGRAPHY- C
Matokeo yake ya mchepuo huo yako hivi:
CHEMISTRY- D
BIOLOGY- D
GEOGRAPHY- C