shule zetu bwana

shule zetu bwana

Chiwa

JF-Expert Member
Joined
Apr 17, 2008
Posts
4,116
Reaction score
4,979
[TABLE="class: MsoTableGrid"]
[TR]
[TD="width: 295"] Academy
[/TD]
[TD="width: 295"] St kayumba
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 295"] Anaamka asubuhi na kupanda basi la shule au usafiri wa familia
[/TD]
[TD="width: 295"] Anapewa nauli au anatembea kwa miguu
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 295"] Achapwi viboko
[/TD]
[TD="width: 295"] Viboko vipo vya kishkaji
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 295"] Shule ya awali wanatoka saa tisa na wana muda wa kulala shule na anamasomo mengi yasiyo na msingi
[/TD]
[TD="width: 295"] Wanatoka saa tano kula kwenu wana muda mzuri wa kucheza na watoto wenzao mtaani masomo matatu tu ya msingi
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 295"] Wakirudi wanaangalia katuni
[/TD]
[TD="width: 295"] Wanaosha vyombo na shughuli zingine za nyumbani
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 295"] Home work wanafanyiwa na wazazi
[/TD]
[TD="width: 295"] Wanafanya wenyewe
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 295"] Hawana muda na kuwajua watoto wa majirani na wanakatazwa kucheza nao watafundishwa tabia mbaya
[/TD]
[TD="width: 295"] Wanajiachia kwa rafiki zao na wanajulikana mtaa mzima
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 295"] Wanafundishwa ubinafsi ikiwa ni pamoja na kula kivyao chakula kwenye hotpot
[/TD]
[TD="width: 295"] Wana kaa pamoja familia nzima pamoja na wazazi
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 295"] Familia iko bize hawana muda wa kujua mabadiliko ya watoto na wengi wanategemea malezi ya wasaidizi wa kazi na waalimu shule
[/TD]
[TD="width: 295"] Mzazi anaweza kuwa na nafasi ya kumvuatilia mtoto hasa mama
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 295"] Hawana uwezo mkubwa wa kumudu mazingira mapya
[/TD]
[TD="width: 295"] Wanauwezo wa kujifunza haraka mazingira mapya 9wanaweza kujitegemea)
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 295"] Wanakunywa maziwa, wanatumia vyoo vizuri wanauhakika wa maji safi lakini wanaongoza kwa vidonda vya tumbo uti, homa za matumbo nk
[/TD]
[TD="width: 295"] Wako fit wanasumbuliwa na malaria hawana vidonda vya tumbo japo hawanywi maziwa
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 295"] Waoga si ajabu ukakutana na mtoto wa darasa la tano hawezi kuvuka barabara
[/TD]
[TD="width: 295"] Wanajiamini na ni wabishi
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
hahahahaahaah
haya maisha bwana sina la kuongeza
 
Yupo dogo mmoja form four St. Something mkoani Arusha,hawezi kwenda mjini peke yake hadi asindikizwe.Kuvuka barabara shida.Watoto mayai noma!
 
Back
Top Bottom