SolarPower
JF-Expert Member
- Jan 17, 2011
- 223
- 27
uwezo mdogo wa kufikiri 1.5 kbwakuu,
napendekeza shule zetu za kidato cha tano na cha sita kila moja iwe na combination moja tu. Maana yangu ni kuwa kama shule ni ya pcm basi wanafunzi wote katika shule husika wanasoma pcm. Hii itatusaidia kuwa na shule maalum kwa kila combination.
Nawasilisha.
uwezo mdogo wa kufikiri 1.5 kb
Hiyo ni ngumu sana! Jaribu kufikiria waalimu, vitabu, majengo, maabara, muingiliano wa combination n.k. Je vitendea kazi vitakuwepo?
Uwezo mdogo wa kufikiri kutoka kwako au kwa aliyeanzisha thread...kumponda mtu bila kutoa hoja mbadala ni kuanika utupu wa bongo wako.Acha uzembe na uvivu toa hoja zako sio tu kumtukana mwenzako bila kuelezea sababu.uwezo mdogo wa kufikiri 1.5 kb