Shule zipi nzuri za wasichana zenye HGE ?

Shule zipi nzuri za wasichana zenye HGE ?

yenyewe

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2014
Posts
621
Reaction score
94
Msaada wakuu.

Naomba mnitajie shule za girls au mchanganyiko zenye combinations ya HGE ?

Natanguliza shukrani.
 
TANDALE İSLAMİ AL SHAABAB AL İSLAMİYA SEMİNARY,ni nzuri sana maana ina wafadhili toka Syria,İran,Jalalabad,Kashmir na shekh ponda anafumdisha civics hapo.

Tuiunge mkono seminary ya kiislam tuwapige bao walokole na wakatoliki

Tumekusikia
 
Mwenzio anauliza mambo ya msingi wewe unaleta mchezo. Jitafakari upya huko mbele uendako na maisha. Fanya utani penye utani na kuwa serious penye kuhitajika kuwa serious! Have a nice day!!!!!!!!!
 
Nawashukuru sana kwa Masada wenu. Nimefanikiwa.
 
Back
Top Bottom