Shumbe chane Mashujaa Fc.

bryan2

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2016
Posts
3,323
Reaction score
4,679
Mwenye kuifahamu timu ya Shujaa Fc hebu atupe hapa kwa kifupi.

Nasikia ni vijana toka Kigoma kwetu ila sijui mitaa gani vile,Mwandiga,mjimwema,Mwanga,kasulu,uvinza,Buhigwe,kakonko,Kibondo wanatoka mitaa gani hawa vijana??

Wapo safi wanapiga soka la kitabu hata Nkana fc cha mtoto,kocha wao hana papara kabisa sema kipindi cha mwisho Refa alitaka kumharibia siku yake,watoto wanagonga wale beki zimetulia,viungo wote wa simba waliwekwa mfuko wa shati yani ni moto.

Halafu upande mwingine walianzisha kikosi B sasa kama Chama,Kotei,Juuko,kichuya wapo timu B basi wana hazina ya wachezaji Mwamba wa Lusaka kutoka Timu A mpaka Timu B jirani upo Vizuri.

Gemu ya Leo makocha wazawa wameonyesha wana kitu sema tu hawaaminiki ila wakiaminiwa na kupewa nyenzo bora kama hawa wageni naimani wanaweza,kocha wa Mashujaa kawa panga wachezaji wake vizuri na kuonekana kama wanacheza na Buseresere fc hawajapaniki kabisa.

Kati ya Hizi timu mbili Tukuyu fc na mashujaa fc sijajua nani anahistoria ndefu kwenye soka la Tanzania mtanisaidia.

Injinia soma ngapi hapo???

Simba 2 Mashujaa Fc 3
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…