Umeanza vurugu eeehhh
Teh teh..Wachoyo wa likes..Nilikuwa na dada yako vacation..Hivi upoo nani alikuteka eti tumekunyima nini na uchoyo wetu ulichotuomba
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mangi naomba hata ukitoka kuhesabiwa ubaki ivo ivo jamani!...
Mangi wa Dar simtaki kabisaaa
Eeenh kuna mvua woiiii kwetu joto jamaniii
Likes zote ninazokupa leo naonekana mchoyo dada angu huyuhuyu sakayoTeh teh..Wachoyo wa likes..Nilikuwa na dada yako vacation..
Ndiwooo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
EeeehhhLikes zote ninazokupa leo naonekana mchoyo dada angu huyuhuyu sakayo
Hahahhahah dada mmoja tu mfyuuuuuEeeehhh
Una dada wengi saaana
KhaaaaHahahhahah dada mmoja tu mfyuuuuu
Bado sijaridhika..Kumbe una Dada mmoja..Ntakuwa nimechanga mafileLikes zote ninazokupa leo naonekana mchoyo dada angu huyuhuyu sakayo
Sasa atakuwa nani jamaniKhaaaa
Sikuwa nae mie
Nina dada mmoja tu ni SakayoBado sijaridhika..Kumbe una Dada mmoja..Ntakuwa nimechanga mafile
Sent using Jamii Forums mobile app
Teh teh teh tehAliyekuteka Mungu anamuona
Teh teh teh teh carba embu niache mie nipumue khaah
Ila vizuri amekuachiaTeh teh teh teh
Kweli sio mtu mzuri kabisa
Ni jambo la kheri shunieIla vizuri amekuachia