Shunie na Sakayo.

Hiyo picha umeangalia vizuri Shunny?!?? Angalia tena mara ya pili, icho ni kidole gumba cha mguu kinauma na kucha imeoza ikatoka.

NB ukimaliza kuangalia na ukagundua ni kidole jiulize matusi yako kichwani mwako au kwa mzeee Robot
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ebu uko na uongo wako kidole gani hiko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…