Mambo unayoyapenda we mzee
Unaandika unafuta eenh
Hahahaha, yapi tena hayo? Halafu umejuaje ?Mambo unayoyapenda we mzee
Bora hata kuandika kufuta ..sina tu cha kuandikaUnaandika unafuta eenh
Si najua mambo yako unayoyapenda ya uchochezi
Basi usiandikie kitu babe
Si najua mambo yako unayoyapenda ya uchochezi
Huo unyonge umeanza lini eti
Hivi upoo nani alikuteka eti tumekunyima nini na uchoyo wetu ulichotuomba
Sijasahau mkuuAhahahahaha… Sakayo, una uhakika kweli hujasahau herufi "W" pahala katika hiyo sentensi yako..??
Akikujibu nitagHahahah amekuwa lini kipenzi cha roho yako
Mangi naomba hata ukitoka kuhesabiwa ubaki ivo ivo jamani!...Shunie na Sakayo ni Marafiki wazuri sanaa!!!...
Wanajua kwann nasema hivyoo [emoji51][emoji51]!!
Sent using Jamii Forums mobile app
MamboooMangi naomba hata ukitoka kuhesabiwa ubaki ivo ivo jamani!...
Mangi wa Dar simtaki kabisaaa
Poa dadake mimi
Salama dear....huku mvua tu!umzima weyeePoa dadake mimi
Habari za namtumbo ya Dar
Mungu ni mwaminifu dadangu, naendelea vizuri!!
Mungu ni mwaminifu dadangu, naendelea vizuri!!
Hongereni kwa baraka za Allah...