We najua huweziJirani jiandae kesho zamu yako kukusifia.
Nakusalimu jirani[emoji137] [emoji137]
Hahaha
Hebu itume basi
Sio kweli kabisaaaAlikuwa anadai kote huko hupatikani,umefichwa sehemu unakula mema ya dunia
MmmmhSio kweli
Huyu mdogo wako siku hizi yani simuelewi kabisa ameanza tabia ya kuzushia watu uongo.Sio kweli kabisaaa
Nitatafuta mtu akusifie badala yangu.We najua huwezi
Mie sijambo kabisaaa Jirani
Hapo kapotea ameenda kuutafuta ushahidi [emoji23] [emoji23].Mmmmh
Mie sielewi kabisaaaHuyu mdogo wako siku hizi yani simuelewi kabisa ameanza tabia ya kuzushia watu uongo.
KhaaaNitatafuta mtu akusifie badala yangu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Khaaa
Ngoja akujeHapo kapotea ameenda kuutafuta ushahidi [emoji23] [emoji23].
Itabidi uongee nayeMie sielewi kabisaaa
Kapatwa na nini
Young sikujui wewe leo tena nilikuquote ukanichunia uzi wa culture galNani huyo, umenifananisha sio mimi
Hapana jaman me sitakiPokea hiyo hongera Shunie, ina maana kubwa sana
Ahahhah Nokia huwa nikikufikilia vituko vyako nacheka sanaKwahiyo unataka mpk akwambie anaomba penzi ndio umuelewe?!
Ahahha young hurumia mbavu zangu kwahiyo sitakiwi kuchekaMbona kicheko, au sio kweli
Ndio vinini hivyoOffer yangu ya vifungashia asali bado ipo
Ahahah manfongo style wanakulagaVijana wa siku hizi hamkawii kabisa kutamani mali za watu... Kuna ule msemo wenu mnasema hainaga ushemeji sijui.
Khaaa yamekuwa hayo tena young anataka kutugombanisha tuAkwende huko
Anajua pa kunipata hajaamua tuu