makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 31,583
- 92,670
Sitaki mie hivi huyu unamkumbuka lakiniNaona mambo sio mabaya
Mungu anakuona hakiiiNdiwoo
Nasikia hunipati etiKhaaa yamekuwa hayo tena young anataka kutugombanisha tu
Watu wamezimikia tukunyema[emoji23] [emoji23] [emoji23]Shunie kibonge njoo umependwa huku
Kweli simsingizii na nilimquote akanichuniaKhaaa
Ndio vinini hivyo
Hivi we una umri ganiNakumbuka Alisha wai Sema Yeye ni Mpenzi wa Shanga
Na Huvaa Kiuon Mbili Tuuu
Simkumbuki ujueSitaki mie hivi huyu unamkumbuka lakini
Mimi huyoHuyu mdogo wako siku hizi yani simuelewi kabisa ameanza tabia ya kuzushia watu uongo.
Ahahaha unajua ni kweliHapo kapotea ameenda kuutafuta ushahidi [emoji23] [emoji23].
Nawe unaunga mkono hojaMie sielewi kabisaaa
Kapatwa na nini
HahahaMungu anakuona hakiii
Maka akikujibu uniiteMkuu una hakika gani shunie ni mrembo, au wa kwenye avatar ndio umemjengea picha ni yeye
MmmmhKweli simsingizii na nilimquote akanichunia
Muongooo hata sijangea nae hizo mamboNasikia hunipati eti
Ya kweli hayo
Nipo maka akee watu wamezimikia muandiko na avatar fakeWatu wamezimikia tukunyema[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Shunie akee naomba ukuje huku..
Sio mimi kweli, mimi leo sijacomment kitu kama hicho.Young sikujui wewe leo tena nilikuquote ukanichunia uzi wa culture gal
Mpaka nivijue kwanzaNaww unataka?!
HahahaAhahah manfongo style wanakulaga