GJHariohay
JF-Expert Member
- Oct 24, 2013
- 1,041
- 1,160
- Thread starter
-
- #541
Ahsante sana Shunie wangu[emoji7][emoji7][emoji7]Jaman Happy birthday to u G Mungu wetu azidi kukulinda na kukutunza akubariki na kukupa maisha marefu [emoji120][emoji7]
Maka me ni muoga unions hivi hiviWanyonyoe manyoya tu shunie akee maana hakuna namna, au we hutaki mapauni shunie akee!!
AiseeShunie seriously nakupenda, i dont care any situation, elewa tu hivyo, whether utakuwa wangu or not we kila ukifungua app ya JF ujue kuna mtu mda wote yuko humu ndani kwa ajili yako[emoji37][emoji37][emoji37][emoji37]
Acha nimalizie kueleza hisia zangu hapa then nilale usingizi mzitoooo
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Hiyo kauli sijaipenda, style ya kumsifia kumbe ni ubahili, utapoteza bahati sasa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]shemelaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]
Shunie upo makini na mihamala jamani
Mambo unayoyapenda hayo mbeba pochi wanguWoyoooo
Thank you dear Sakayo. Acha nifanye mpango sasa nipate jiko umri umetoshaHappy birthday
He he mihamala ndio kila kitu Ney[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]
Shunie upo makini na mihamala jamani
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unajua leo ni Birthday yangu, nimekuja kumbushwa na msg ya FB mda huu, nlikuwa sielewi kwann nimekuwa wa tofauti siku nzima ya leo, naona pia wewe umekuwa sehem ya furaha yangu leo lol!!!
Nilijua umeenda kulala mana ndio mida yetu hii youngAisee
Ndege mwoga huwa ana watoto wengi au kizazi chake ni kingi. Sijui kam nimepatia[emoji23][emoji23]Maka me ni muoga unions hivi hivi
Toa uwamuzi wa mwisho kwa kijana wetu basi mimi nimechoka kusubiri nataka nilale. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Me nakuombea upate jiko la kufanana na wewe akupende kwa kila kitu na usiache kumuomba Mungu akupe mke sahihiThank you dear Sakayo. Acha nifanye mpango sasa nipate jiko umri umetosha
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Pita mitaa fulan hapo uone nilivyokomaa shem[emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ney[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ujue shemeji umeanza kutoka nje mada kisa kutuma mihamala.
Embu mambo ya birthday weka kando kwanza tulimalize hili lililopo mezani.
Young nimeshamjibu mm ndio mana nashangaa hulali mana ndio midaToa uwamuzi wa mwisho kwa kijana wetu basi mimi nimechoka kusubiri nataka nilale. [emoji23]
Madalali utawajua tu[emoji23]Asa hapa mkuu tusiende mbali Sana hiii kazi ya kumalizana aidia nimeshakupa sasa...............UNAMPA SHINGAPI ILI NIKIMFUATA PM NIJUE NADAI NGAPI MKUU
Basi sawa hamna nenoAhahahaaa kauli hiyo haina maana hiyo
Kabisaaa bwana ShemSakayo wangu upo kumbee, umemaliza kuandaa dinna bila shaka