Hivi si umemuuliza kuhusu forex ndio amekuuliza unayo pesa ya adaAcha kuwa na wivu mkuu. Wish ur enough matured, vingine visivyohusika kwenye huu uzi unavileta kwa mantiki ipi?
Majibu sio lazima anayoyataka mtu, kila majibu huwa ni sahihiHivi si umemuuliza kuhusu forex ndio amekuuliza unayo pesa ya ada
Haya bana, mbaki salama hapa!!Hakuna harusi kila mtu apambane na hali yake
Tuendelee kupendana tuu shemeji yangu, Mungu ni mwema huwenda akaskia kilio chako kwa shunieShem upendo wangu kwako haupoi hata siku mojaa
Nakukutaja taja. anasababisha wengine tupate kiwewe.Awe makini na nini
Hahahah Kutesa watu ni dhambi pia.Hakuna namna acha tu apate tabu wanaume mmeumbiwa mateso
Shunue hebu tuweke sawa huyo Seth ndiyo shemu auHakuna harusi kila mtu apambane na hali yake
Ok sawa [emoji40]Hao mtu na mtani wake wanajuana
Ney huko yamekwisha ww ni barafu ya moyo wangu tafadhali rudi tuyajenge ya kwetu tafadhaliTuendelee kupendana tuu shemeji yangu, Mungu ni mwema huwenda akaskia kilio chako kwa shunie
Mkuu kuendelea kunifuatilia ni kuhatarisha maisha yakoAcha kuwa na wivu mkuu. Wish ur enough matured, vingine visivyohusika kwenye huu uzi unavileta kwa mantiki ipi?
Nimegundua kuwa una ubongo kama wa panzi jikeMajibu sio lazima anayoyataka mtu, kila majibu huwa ni sahihi
Sawa forex.Nimegundua kuwa una ubongo kama wa panzi jike
Acha vitisho visivyo na maana, Kama hujapendezwa na Uzi pita hivi, hakuna kinachokuhusu wewe hapa. BTW nikufuatilie wewe nakufahamu? We met here kila mtu na maisha yake. All the bestMkuu kuendelea kunifuatilia ni kuhatarisha maisha yako
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Shunue hebu tuweke sawa huyo Seth ndiyo shemu au
Itakutokea puaniAcha vitisho visivyo na maana, Kama hujapendezwa na Uzi pita hivi, hakuna kinachokuhusu wewe hapa. BTW nikufuatilie wewe nakufahamu? We met here kila mtu na maisha yake. All the best
Kwaiyo unataka kumaanisha nini?Unampenda usiyemjua...JF unaweza ukapenda dume lenzio