Unampenda sana neymar?Aarggh ebu weka avatar ya Neymar jaman au hata ile anayochezea play station
Kiasi chake nampenda alivyo pamoja sio mshabiki wa team yake ya zamani ya barcaUnampenda sana neymar?
Usiniambie kuwa unashabikia real Madrid?Kiasi chake nampenda alivyo pamoja sio mshabiki wa team yake ya zamani ya barca
Naishabikia Real sababu ya Ronaldo me man u Alonso namtupaje RonaldoUsiniambie kuwa unashabikia real Madrid?
Izo team zako mbovu mno haimia kwa majogoo LiverpoolNaishabikia Real sababu ya Ronaldo me man u Alonso namtupaje Ronaldo
Hapo penye kuhama team pamenishinda kama nilishindwa hama enzi za Moyes sihami tenaIzo team zako mbovu mno haimia kwa majogoo Liverpool
Shabikia hata Bayern Munich tu uiongeze kwenye list ya team yako maana msimu huu inabeba UEFAHapo penye kuhama team pamenishinda kama nilishindwa hama enzi za Moyes sihami tena
Siwezi mie hapa man u pale real madrid pembeni mnyama simba niache Alonso na team zanguShabikia hata Bayern Munich tu uiongeze kwenye list ya team yako maana msimu huu inabeba UEFA
Liver,PSG,Bayer Munich,Barca, Mbeya city,Celtic,Siwezi mie hapa man u pale real madrid pembeni mnyama simba niache Alonso na team zangu
Sitakiii niache na team zanguLiver,PSG,Bayer Munich,Barca, Mbeya city,Celtic,
Machama yaushindi hayo hama simba kila siku mnatimua ma kocha tu
Mwanangu nataka kubadiri username nitafutie jinaSitakiii niache na team zangu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Yeth lottahMwanangu nataka kubadiri username nitafutie jina
We baba swalehe una nini lakiniEeeh bwana eeeh
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124]We baba swalehe una nini lakini
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Amefanyeje tena uyo yeth mtu wa mungu?