Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 43,973
- 150,463
Threads nyingi zilianzishwa kukuzungumzia wewe shunie ila na mimi ngoja niwe miongoni mwa waliofanya hivo japo yawezekana walikuwa hawajui wanachokifanya
Nafurahi jf hasa chit chat kunikutanisha na mwanamke huyu shunie umekuwa faraja kwangu nje na ndani ya JF...
Nina mengi ya kuandika kukuhusu wewe Shunie ila tambua NAKUPENDA ...
Let's our love shine forever ....