I'm speechless hunnie chozi la furaha limenitoka love u moreee lee wangu me apa shunie [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8] si kwa surprise hii utanitoa roho Baba D jamanThread nyingi zilianzishwa kukuzungumzia wewe shunie ila na mimi ngoja niwe miongoni mwa waliofanya hivo japo yawezekana walikuwa hawajui wanachokifanya
Nafurahi jf hasa chit chart kunikutanisha na mwanamke huyu shunie umekuwa faraja kwangu nje na ndani ya JF...
Nina mengi ya kuandika kukuhusu wewe Shunie ila tambua NAKUPAENDA ...
Let's our love shine forever ....
[emoji3][emoji3][emoji3] we mbona nyakanga tayali haujijui tu ndugu yangu unayonifunza yanatosha hivi naaanzaje kutoa ya chumbani mie geni jamanhahahaahaaaaa...wengine hawaa
woyoooo..
let the luv lead!!!
haya na nyie mje kutuhadithia ya chumbani hapa hapa MMU...!!!
Shunie naomba niwe nyakanga wakoooo ili usinidhalilishe tafadhali
Nakupendaa ....I'm speechless hunnie chozi la furaha limenitoka love u moreee lee wangu me apa shunie [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8] si kwa surprise hii utanitoa roho Baba D jaman
Nimekuja mpenzi Asante Inna wa ivugaDuuuh shunie unaitwa huku
Hongeren kwa couple nzur
Ahahha naona umeamua kutaka kumchokoza leenaanda uzi wangu na mimi kuhusu shunii
soon
Nakupenda sanaa na nitazidi kukupenda siku zote za maisha yangu Mungu azidi kuniwekea lee wangu mie tu peke angu [emoji8][emoji8][emoji8]Nakupendaa ....
Ntakupenda ...
[emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8]
Mkuu kila mtu apambane na hali yake
Ahhahah umeanzaAiseee.....
Unafaidi saana Bwana lee