Shunie you're my everything...

Status
Not open for further replies.
Umemaliza nyakanga wa shunie kaka bonny kama anapita kimya kimya kama namuona anavyocheka ujue
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji113] [emoji113] [emoji113] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji124] [emoji124] [emoji124]...!!kaka namuomba akae pembeni asubiri kupokea pesa
bimdadaa namaliza kona zote

ntahakikisha mipira haiumi nondooo
yote inaingia wavuni tuuu....

sent from motorola bapa and nokia jeneza
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji85] [emoji85] [emoji85] nyakanga ntakua nimefeli na ukungwi basi miyeee...
ila sishindwi mimi tutarudi hata kwetu na Simba mtoto....tukarekebishe nyotaa

sent from motorola bapa and nokia jeneza
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Bonny ukuje jaman au hutaki mahari
 
Woyoooooooooooo
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji85] [emoji85] [emoji85] nyakanga ntakua nimefeli na ukungwi basi miyeee...
ila sishindwi mimi tutarudi hata kwetu na Simba mtoto....tukarekebishe nyotaa

sent from motorola bapa and nokia jeneza
...Simba Mtoto!
..hapo sasa ndo nimekufahamu uzuri,nyakanga kapata bibie!
..kabla sijasahau,na kamati ya mapishi uisimamie mwenyewe!
 
...Simba Mtoto!
..hapo sasa ndo nimekufahamu uzuri,nyakanga kapata bibie!
..kabla sijasahau,na kamati ya mapishi uisimamie mwenyewe!
[emoji122] [emoji122] umeona eeehh...sisi wa pwani hatupikiwagi na wabaraa...kwetu mapishi ndo yalikoanzia ya jikoni mpk chumbani....!!!ukitaka vibibi,maharage ya kukata na biriani lakeee

tutapika sisi wenyeweeee......
 
Mkuu,

Tupunguze kuzurura jukwaa la siasa. Tupige kambi MMU.

The world is moving so fast, and we seem to be left behind!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

- KANA -
Kweli aisee mkuu [emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]

Sent from my iPhone 5s using Tapatalk
 
hua unatuombea kila lenye mema me na mshikaji wako Shunie but leo naomba niwawish nanyi kwenye safari yenu hii mnayoindeleza

Mungu awasimamie mdumu wote milele

safari mliyoianza ina kila aina ya misukosuko hope u two can both make it till the end

tunawapenda!

shemeji lee empire kila la heri
 
[emoji122] [emoji122] umeona eeehh...sisi wa pwani hatupikiwagi na wabaraa...kwetu mapishi ndo yalikoanzia ya jikoni mpk chumbani....!!!ukitaka vibibi,maharage ya kukata na biriani lakeee

tutapika sisi wenyeweeee......
Tenaaaaa [emoji108]
 
Asante sana Madame S na mshkaji wangu Bailly5 [emoji120] tunawapenda pia jaman Mungu azidi kuwaweka na kutimiza malengo yenu
 
Asantee sana
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…