Shura ya maimamu inayoongozwa na Sheikh Ponda Issa Ponda imewalalamikia polisi wa kanda ya kati inayosimamiwa na Afande Kova kwa kuwakatalia haki yao ya kimsingi ya kuandamana na kuelimisha waumini wao juu ya elimu ya uraia kabla ya uchaguzi mkuu ujao hivi karibuni.
kazi hiyo sasa yafanywa na wagombea na taasisi zisizo za kiserikali.
SOURCE : CHANNEL TEN EVENING NEWS