Mzurulaji
JF-Expert Member
- Sep 25, 2021
- 283
- 639
Habari zenu wakuu, sisi wazee wa online tumekuwa tukitumia njia nyingi na app nyingi katika kutazama Mechi za Barani ulaya, na mashindano mbalimbali kama Uefa Champions League, FA, Carabao n.k Pamoja na League yetu ya Bongo.
App gani unazozifahamu ambazo unatumia Kucheki Match live. Iwe ni za Bongo, Ulaya au Mchanganyiko.
Hakikisha unaandika sifa za App hiyo.
Wakuu mimi natumia,
1. Yacine Tv App
Hii App kwangu ni bora tofauti na kuwa imedeal na league za uingereza tu. Lakini ina option ya kubadiri Quality ya Match kutokana na Mb ulizonazo, au kama upo sehemu ambayo mtandao unasumbua.
Tatizo ni moja la hii App imedeal na League za uingereza Tu.
Shusha App yako unayoikubali... Pamoja na zifa zake... Natanguliza shukrani.[emoji116][emoji116][emoji116]