SirAlfred006 JF-Expert Member Joined Sep 21, 2020 Posts 517 Reaction score 1,243 Jun 25, 2023 #1 Shusha comment moja kumhusu.
Sultan MackJoe Khalifa JF-Expert Member Joined Nov 24, 2022 Posts 6,782 Reaction score 14,148 Jun 25, 2023 #2 Jitu mtu msitu.
To yeye JF-Expert Member Joined Oct 4, 2022 Posts 35,686 Reaction score 86,968 Jun 25, 2023 #3 Anakakifua Ka kusleepia.Mwamba huyu kupinga ushoga kaupiga mwingi...ila Amemwaga mno damu za wasio na hatia.Vita ni nuksi aisee
Anakakifua Ka kusleepia.Mwamba huyu kupinga ushoga kaupiga mwingi...ila Amemwaga mno damu za wasio na hatia.Vita ni nuksi aisee
NAGAMAHONGA JF-Expert Member Joined Dec 11, 2012 Posts 11,131 Reaction score 9,301 Jun 26, 2023 #5 Mkali wa kivita.
BILGERT JF-Expert Member Joined Feb 27, 2015 Posts 6,534 Reaction score 11,011 Jun 26, 2023 #6 Anapigana vita isiyo na faida..
kizaizai JF-Expert Member Joined Mar 31, 2010 Posts 5,651 Reaction score 6,966 Jun 26, 2023 #7 Vladmir Putin Kimaro
Makorokoro Bondeni JF-Expert Member Joined Apr 11, 2023 Posts 1,300 Reaction score 1,969 Jun 26, 2023 #8 Jembe
Mtukutu wa Nyaigela JF-Expert Member Joined Sep 4, 2018 Posts 8,013 Reaction score 14,263 Jun 28, 2023 #9 SirAlfred006 said: Shusha comment moja kumhusu. View attachment 2668421 Click to expand... yeye ni binadamu tu kama sisi,ana ukomo wakeMhubiri 3:19Hatima ya mwanadamu ni kama ile ya wanyama; wote wana mwisho unaofanana: Jinsi anavyokufa mnyama, ndivyo anavyokufa mwanadamu. Wote wana pumzi inayofanana; mwanadamu hana cha zaidi kuliko mnyama. Kila kitu ni ubatili.
SirAlfred006 said: Shusha comment moja kumhusu. View attachment 2668421 Click to expand... yeye ni binadamu tu kama sisi,ana ukomo wakeMhubiri 3:19Hatima ya mwanadamu ni kama ile ya wanyama; wote wana mwisho unaofanana: Jinsi anavyokufa mnyama, ndivyo anavyokufa mwanadamu. Wote wana pumzi inayofanana; mwanadamu hana cha zaidi kuliko mnyama. Kila kitu ni ubatili.