gonamwitu
JF-Expert Member
- Feb 16, 2018
- 2,187
- 2,794
Jana nimeiangalia vizuri sana timu yangu ya "SIMBA" nimegundua tunakosa quality(ubora) kwenye maeneo yafuatayo
1.Beki wa kulia kwa maana ya namba 2, upande huu anacheza kapombe: baba esta umri umeenda, nishati yake imepungua siyo yule tena nadhani thierry manzi kutoka al ahly tripoli inatakiwa aje kuchukua nafasi yake au mwamba gbaukre kutoka asec mimosas(pacha wake kwasi atohola yao hawana utofauti katika uchezaji wao)
2.Winga wa kushoto kwa maana ya namba 11 huu upande jana alicheza mutale mchezaji mfupi kama fridge ya aboda: huyu jamaa hamna kitu kifupi tumepigwa basi msilalamike sana wanalunyasi nadhani mwamba ellie mpanzu akianza kucheza anatakiwa akabidhiwe hii nafasi iwe mali yake.
3.Winga wa kulia kwa maana ya namba 7: upande huu anachezaga balua au kibu hata mutale anaweza kucheza upande huu: mwamba wa kuitwa kinzumbi anatakiwa aje awafundishe hawa wapuuzi wote winga anakuwaje.
4.Kiungo namba 10: ahoua inatakiwa aje afundishwe na sesinyi nafasi zinatengenezwaje.
Nawasilisha.