Elijah O
JF-Expert Member
- Jul 30, 2015
- 1,118
- 916
Nimemuona Mwenyekiti wa usajili wa simba Mzee wetu Pop akilalamika juu ya wachezaji kucheza chini ya kiwango kiukweli ukiangalia kiufundi wa mpira wachezaji wamejitahidi mpaka kufikia lakina Mwenyekiti anasema wale wote waliocheza chini ya kiwango watatafutiwa mbadara wao hii itapelekea kurudisha molali ya wachezaji chini hili lilikua halihitaji kulito kwenye vyombo vya habari Bali ilitakiw iwe siri ya viongozi .