Shutuma ya wachezaji wa Simba sc

Elijah O

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2015
Posts
1,118
Reaction score
916
Nimemuona Mwenyekiti wa usajili wa simba Mzee wetu Pop akilalamika juu ya wachezaji kucheza chini ya kiwango kiukweli ukiangalia kiufundi wa mpira wachezaji wamejitahidi mpaka kufikia lakina Mwenyekiti anasema wale wote waliocheza chini ya kiwango watatafutiwa mbadara wao hii itapelekea kurudisha molali ya wachezaji chini hili lilikua halihitaji kulito kwenye vyombo vya habari Bali ilitakiw iwe siri ya viongozi .
 
Man u kala 4g hatukusikia shutuma za kucheza chini ya kiwango,ndiyo maana soka letu haliendelei.
 
Hilo ndiyo tatizo la viongozi wa mpira tanzania. Badala ya kungojea wakapewa analysis ya performance kwa kila mchezaji toka jopo la ufundi wao wanajitiwisha majukumu hayo na mwisho wa siku kufukuza wachezaji wazuri tu na mfano wa karibu ni mpigaji vichwa maarufu wa yanga [tambwe]. Mpaka sasa najiuliza ilikuwaje wakamtema?
 
Hapo Mzee pope amekosea sana
 
Rejea maneno ya Hamis Kiiza kuwa simba haiwezi kupata mafanikio chini ya huu uongozi uliopo madarakani kwa sasa wa hawa wahuni na waasi ....
Timu ilikuwa imeanza ku-stabilize gafla kiongozi mmoja mhuni anaamua kuivuruga kwa maslahi yake binafsi, kwa namna hii soka letu halita weza songa mbele!
 
Mwenyekiti wa usajili....
Hahahaha...huyu jamaa pop atakuwa yanga....utaona watakaoachwa na kichuya pia maana watasema hakufunga goli mechi mbili za mwisho kwa kuwa baba ake yanga.
 
Hans Poppe ni mwenyekiti wa kamati ya usajili. Maana yake kapewa hiyo kazi na Rais wa Simba Aveva.

Cha ajabu ni kwamba, kwa vitendo na kwa namna yoyote ile, Hans Poppe ndiyo kiongozi halisi wa Simba. Aveva yupo kama picha tu. Hana usemi wala maamuzi yoyote.

Hans Poppe hawezi kugombea nafasi ya kuchaguliwa maana katiba inambana. Alishawahi kuhukumiwa kwa uhaini! Njia iliyobaki ni kupita mlango wa nyuma na kuongoza kwa remote.

Nasubiri wamlete Okwi ili kumkatisha tamaa Kichuya. Wataanza kuchukua jwzi 25 anayotumia Kichuya na kumpa Okwi. Baada ya hapo kila kitu itakuwa raha kwa Yanga na Azam
 
OK kumbe ni kiongozi wa kamati ya ufundi
 
Ubingwa mtausikia Jangwani tu uko msimbazi mtasikia kelele za wamachinga
 
Kufa kwa mkundu Mavi hutawanyika... Kipigo kimewachanganya.. Na bado.
 
Sio soka letu.. Sema soka la simba!!!!
 
Hawa wazee as if wana kadi za yanga au azam. Maana maamuzi mengine wanayofanya yanawafaidisha wapinzani zaidi.!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…