Gamaha
JF-Expert Member
- Jul 17, 2008
- 3,915
- 5,038
SALEHJEMBE: Makosa yasiyo ya kawaida, unaweza kulifafanua vizuri hilo?
Hans Poppe: Mchezaji unamjua, unajua uchezaji wake alivyo lakini katika mechi moja, mbili anabadilika na kucheza katika hali ambayo inashangaza kabisa.
SALEHJEMBE: Hivyo hofu yako hapo ni nini, kama unazunguka kidogo?
Hans Poppe: Hofu inaweza kujumuisha mambo mengi, kwamba huenda ni uchovu, umri, kukosa uzoefu, ugonjwa au pia kwa makusudi kwa maslahi yake. Haya mambo ya watu kutumika yapo, lakini naweza kusema ni hisia na tunapaswa kuyafanyia kazi na mwisho tujue, kama kuna ukweli basi tutachukua hatua kwa kuwa tukiyaacha, katika mzunguko wa pili, yatatuumiza.
Mkuu ukisoma mahojiano na Salehe Jembe Pope amesema inaweza kuwa moja ya sababu, zipo nyingi na kuwa ni hisia tu, tena alifuatwa kuhojiwa sio kwamba analalamika. sioni ubaya wowote labda kama tunataka viongozi wa mabubu wasiongee chochote.