Natoa mifano miwili ngumu kuelewa bila kuchola ila jitahidi naanzia upande wa (×) then (+).
(3×3)=9 kwa Maelezo ni ‘tatu ziwe tatu hivyo sawa na kusema (3+3+3)=9.
(3+3)=6 ‘jibu lazima lisifanane kwasabu kwenye mabano idadi ya tatu haifanani na idadi ya tatu za juu ambazo (3+3+3).
So that why Different.
Kwenye mbili nafupisha refer kama juu
(2×2)=4 sawa na (2+2)=2
(2+2)=4 jibu limefanaba kwasababu idadi ya 2 za kwenye mabano ya jumlisha sawa na idadi ya mbili ya 2 ya kwenye jumlisha tuliitengeneza kutoka kwenye (×).
Mkuu mimi HKL siachi nafasi ya wazi kwenye pepa nitafosi tu [emoji23][emoji23][emoji23]