Nazjaz
JF-Expert Member
- Jan 20, 2011
- 7,730
- 9,088
Haya ni maneno aliyo yaandika kwenye wall yake ya Facebook.
Shy-Rose Bhanji
wewe unayejiita Eng Mayeye Mussa hivi wewe
ni mwanaume kweli? mwanaume gani wewe
kila kukicha unanifuatilia bila sababu ya
msingi na kunitusi? na kama unajiamini kwa
nini utumie jina la bandia na profile pic
ambayo si yako?
29 minutes ago · Like