Kuna tetesi ya huyu dada ya kutumia mmea (mfuasi wa bob marley)
Mmea pendwa ndo maana anazidi kungara.
Kumbe wa Jinsia ya Ke mnaotumia mpo wengi eeeeh
want some?
Trust me niliujua huu mmea kabla hujatolewa bikra
Trust me niliujua huu mmea kabla hujatolewa bikra
Oooooh!!!! thats good.... kama vp tupate wote leo si unajua la j'pili huwa na mzuka wake!
Huwa unatumia kitu cha wapi? Mimi nina cha Meru,unakijua hiki?
Cha........ hicho sijawahi kupata