Shyrose ailalamikia jamii forums

Status
Not open for further replies.

NICK2275

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2010
Posts
3,930
Reaction score
920

Mwanaharakati wa masuala ya kijamii, Shyrose Bhanji (pichani), ametoa kilio chake kutoka moyoni akilalamika kuchezewa rafu na wabaya wake, Amani Jipya linashuka nayo.

HABARI KAMILI

Shyrose alianza kuandika kwenye ukurasa wake katika ‘netiweki' ya kijamii ya Facebook mwishoni mwa wiki iliyopita kwamba, kuna kundi limeibuka ambalo kazi yake ni kumsema vibaya hivyo kutaka kujua amewakosea nini.

Katika maelezo yake, mwanaharakati huyo alilitaja kundi hilo kwa jina la Jamiiforum kuwa ndilo lililo mstari wa mbele katika kumharibia sifa yake kila kukicha.

Aliandika: "Naomba kuuliza, nimewakosea nini mpaka mnanisema vibaya sana?

"Jamiiforum ndiyo mko mstari wa mbele kuniharibia kila siku! Nimewakosea nini? Wote mnaoniharibia sifa yangu mnaniumiza moyo wangu sana na hamnitendei haki."

Alimalizia: "Kila mnaponiharibia, Mungu ananisaidia. Watch me (Niangalieni)."


Source-globalpublishertz

 
nimependa maana nae kumbe anasoma mambo ya humu jamii forums-
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…