Shyrose na Ndege PRIVATE kutoka DOM kwenda DAR!

Shyrose na Ndege PRIVATE kutoka DOM kwenda DAR!

Tatizo sisi Watanzania wengi wao hatuna kitu ndio maana tunashangaa hata vitu vidogo mbona kawaida tu kukodi Jet, wala sio bei kubwa.
 
tatizo sisi watanzania wengi wao hatuna kitu ndio maana tunashangaa hata vitu vidogo mbona kawaida tu kukodi jet, wala sio bei kubwa.

hivi rate zikoje? Ni kweli hatuna kitu, na hii bajeti ya juzi ndio imetumaliza kabisa!
 
hivi rate zikoje? Ni kweli hatuna kitu, na hii bajeti ya juzi ndio imetumaliza kabisa!

Kaka hawa watoto wa kike tusijifananishe nao huyu kaitwa Dar mara moja si unaona hana ata mizigo kuna watu wanadhamini mapambano!
 
- Safari ya kurudi Dar from Dom...
SOURCE FACEBOOK
Ndio maana Jaffaray karudi mwenyewe,lakini jamani kama si ulimbukeni nini ndio mpaka ujifotoe na kutoa kwenye FB,masikini akipata ****** hulia mbwata,watu mbona hukodi ndege kila kukichwa na wengine wanamiliki ,sijui watu kama akina Rostam au Mkono nao wajifotoe
 
  • Thanks
Reactions: kui
Ni mtu wa media na amekulia kwenye shida muachezi akizoea hataweka tena.
 
Pesa inamuwasha sana! juzi alitaka alipe M5 ili plate number za gari yake zisomeke SHY-ROSE.
Kazi kweli kweli!
 
mtoto wa kike usimuonee donge

mbona mzee kabisa huyo wabongo bwana kama mwanaume utasikia anaitwa mzee mzee kafika mpe kiti.mwanamke ataiwa mtoto bdo mbich wakati kashafunga mzunguko wa mwez.alitakiwa kuwa na mtoto age yangu kabisa huyu mama.
 
Tatizo sisi Watanzania wengi wao hatuna kitu ndio maana tunashangaa hata vitu vidogo mbona kawaida tu kukodi Jet, wala sio bei kubwa.

Kumbe gharama ni sawa na basi au Treni. Do you know definition of saving? Au unaanza kusevu zikifika mamilioni na wala sio mamoja? Mtabakia kusema wachagga bajeti kumbe hujijui kuwa wewe ndo limbukeni

Sent from my BlackBerry 9910 using JamiiForums
 
Ndio maana Jaffaray karudi mwenyewe,lakini jamani kama si ulimbukeni nini ndio mpaka ujifotoe na kutoa kwenye FB,masikini akipata ****** hulia mbwata,watu mbona hukodi ndege kila kukichwa na wengine wanamiliki ,sijui watu kama akina Rostam au Mkono nao wajifotoe

Ushasema Rostam na Mkono huyu mbona ni Shy hawafanani hata kwa jinsia achilia mbali umri wa kuzaliwa na miaka ya kuingia kwenye game ya kufisadi. Mbona JF mko wengi wenye mawazo finyu na chuki zisizo jenga

Sent from my BlackBerry 9910 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom